Unagundua saa 8:14 usiku, si saa 1 asubuhi
Kila router inaripoti. Moja ikisimama, simu yako inapata taarifa ndani ya dakika chache — si asubuhi inayofuata mgeni akikuambia.
Inaangalia nini
Iko hewani au hapana
Router inayoacha kuripoti inaleta taarifa kwenye simu yako.
Ina shughuli kiasi gani
Wageni wangapi wapo kwenye kila router sasa, na wangapi leo.
Kurudi yenyewe
Umeme unarudi, router inajiunganisha, na taarifa inajifunga yenyewe.
Taarifa inakuambia nini
Ya kutosha kujua kama unahitaji kupanda gari. Mara nyingi jibu ni hapana — umeme unarudi na router inajiunganisha yenyewe.
Router ipikwa jina ulilolipa
Tangu linihadi dakika
Wageni walioathirikaidadi wakati ilipozimika
Bado inauza?maeneo yako mengine, ndiyo